Writen by
sadataley
10:40 PM
-
0
Comments
MCHUNGAJI LEONARD KIHEGULO AMEFANYA KAZI KATIKA DAYOSISI YA KUSINI LICHA YA WAZAZI WAKE KUHAMIA IRNGA KIMAKAZI.
ALIANZA KAZI KATIKA KANISA KAMA MWINJILISTI NA BAADAYE ALISOMA MASOMO MAALUM NA KISHA KUMFANIKISHA KUWA MCHUNGAJI.
MPAKA MAUTI YANAMKUTA ALIKUWA KATIKA USHARIKA WA MADABA JIMBO LA RUVUMA.
TUENDELEE KUIOMBEA FAMILIA YAKE.
NI MCHUNGAJI LEONARD KIHEGULO AKIWA AMEITWA MBINGUNI
Mkuu wa Jimbo la Chimala Mchg. Ng'umbi akisalimiana na Mchg. KisomaMsaidizi wa Askofu wa Dayosi ya Kusini Mchg. Dr. Fihavango akisalimiana na baadhi ya Wachungaji
Mchungaji Ombeni Ulime naye alikuwepo
Msaidizi wa Askofu wa Dayosisi ya Iringa Mchg. Blastone Gavile
Mkuu wa Jimbo la Magharibi(Iringa Mjini) Mchg. Agnes Kulanga
Msaidizi wa Askofu wa Dayosi ya Kusini Mchg. Dr. Fihavango akiwa na Mchg. Agnes Kulanga
Wakuu wa Mjimbo ya Kusini
Mchg. Sanga wa Usharika wa Matiganjola akiwa na Mmiliki wa Blog hii Mchg. Kurwa Sadataley
Msaidizi wa Askofu wa Dayosi ya Kusini Mchg. Dr. Fihavango akiwa na Mkuu wa Jimbo la Ruvuma
Haya na twe kumsindikiza mwenzetu
Msafara ukiendelea
Wasaidizi wa Askofu wa Dayosi ya Kusini na Iringa Mchg. Dr. Fihavango na Gavile
Katibu Mkuu Msaidizi DKU mwenye vitabu
Msafara unaendelea
Wakwanza kabisa ni Baba wa marehemu
Wasaidizi wa Askofu wa Dayosi ya Kusini na Iringa Mchg. Dr. Fihavango na Gavile wakiongoza waombolezaji
Msaidizi wa Askofu wa Dayosi ya Kusini na Iringa Mchg. Dr. Fihavango akifungua Ibada
Katikati ni mjane wa marehemu
WACHUNGAJI WAKISOMA MASOMO MAALUM
KUTOA HESHIMA ZA MWISHO-
KUELEKEA MAKABURINI
Msaidizi wa Askofu wa Dayosi ya Iringa Mchg. Gavile akiwa amebeba jeneza
KUUWEKA MWILI WA MAREHE ARDHINI
Wasaidizi wa Askofu wa Dayosi ya Kusini na Iringa Mchg. Dr. Fihavango na Gavile
WAKATI WA MAHUBIRI SASA
SOMO TOKA INJILI YA YOHANA MTAKATIFU 8:51
KUWEKA UDONGO
KUWEKA MSALABA KAMA ISHARA YA USHINDI WA MKOMBOZI WETU YESU KRISTO
KUFUNGA IBADA
NI KABURI LA MCHUNGAJI LEONARD KIHEGULO
MATANGAZO
UWEKAJI WA MASHADA(MATAJI)
TAARIFA ZA MICHANGO
SALAM MBALIMBALI
SALAM ZA DAYISIS YA KUSINI
KUTAWANYIKA
No comments
Post a Comment