Writen by
sadataley
8:48 PM
-
0
Comments
Rais Jakaya Kikwete akiwa na Mama Salma Kikwete wote kwa pamoja wakitoa heshima za mwisho
Makamu wa Rais Dkt. Gharib Bilal akitoa heshima za mwisho
Rais Jakaya Kikwete akisaini kitabu cha rambirambi
Makamu wa Rais Dkt. Gharib Bilal akisaini kitabu cha rambirambi
Baadhi ya majeneza yenye miili ya wanajeshi hao
Viongozi wetu wa serikali waandamizi wakiwa katika tukio hilo
Mkuu wa Majeshi Meja Davis Mwamunyange akizungumza katika tukio hilo
Rais jakaya Kikwete akihutubia katika tukio hilo
Baadhi ya wafiwa wakiwa wenye huzuni
Picha na Ikulu
No comments
Post a Comment