Writen by
sadataley
1:19 PM
-
0
Comments
SEMINA HII ITAFANYIKA KUANZIA LEO 22-27/2013
NA SASA NI KATIKA SOMO LA AFYA YA FAMILIA NA STADI ZA MAISHA
SEMINA HII NI KATIKA UKUMBI MDOGO WA CHUO KIKUU IRINGA
MCHUNGAJI ROBERT MUTASINGWA AKIFUNDISHA SOMO LA AFYA YA FAMILIA NA STADI ZA MAISHA
MCHUNGAJI SARA MDEGELLA -MRATIBU WA KITENGO CHA WENZI WA WACHUNGAJI
MAMA MCHUNGAJI LUSUNGU MSIGWA AKIWA KATIKA SEMINA YA WENZI
MAMA MCHUNGAJI DONALD KIWANGA AKIWA MAKINI KATIKA KUCHUKUA KUMBUKUMBU
MWANDISHI WA REDIO FURAHA LOVEDAY ROMAUSI KATIKAKATI AKIWA NA MAMA MCHUNGAJI DKT. RICHARD LUBAWA NA MAMA MCHUNGAJI MGEYEKWA WA KWANZA KABISA
MRATIBU WA SEMINA MCHUNGAJI SARA MDEGELLA AKIFUATILIA JAMBO
No comments
Post a Comment