Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Monday, April 2, 2018

Winnie Madikizel Mandela afariki dunia

TAARIFA za hivi punde zinaeleza kuwa, mke wa zamani wa Rais wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, Winnie Madikizel Mandela, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 81. Taarifa ya BBC Swahili imeeleza kuwa, habari za kifo cha Winnie zimethibitishwa na msaidizi wake.

Winnie alizaliwa Oktoba 26, 1936, ingawa yeye na mumewe, Nelson Mandela walitalikiana miaka ya 1990. Winnie Madikizela Mandela kama alivyofahamika rasmi aliendelea kushirikiana na Mandela katika maisha mengine ya kawaida.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment