Writen by
sadataley
3:44 PM
-
0
Comments
| Askofu Mkuu wa Kanisa la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Iringa Dr.OwdenburgMdegela |
| waumini wa KKKT Usharika wa Kanisa Kuu leo |
| Wanahabari Iringa wakirekodi salam za Askofu Dr Mdegela leo |
| Waumini wa Kanisa hilo na wageni kutoka nje wakifuatilia salama za Askofu Dr O.M Mdegela |
| Katibu wa Asas za Kiraia mkoa wa Iringa Raphael Mtitu kulia akifuatilia salama za Askofu Dr O.M Mdegela |
mdau wa mtandao huu Stivin Lwambati wa pili kulia akifuatilia salam hizo
| Askofu Dr Mdegela akitoa salam za Pasaka |
Kwaya kuu ikiimba Akitoa salamu za Sikukuu ya Pasaka kwenye Kanisa Kuu Iringa, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Iringa, Dk Owdenburg Mdegela aliwataka wajumbe wa Ukawa kurudi bungeni kuendelea na mjadala wa katiba na wasiende kwa wananchi kwa kuwa wameona kila kitu kinachoendelea bungeni.
“Ukawa warudi bungeni au wanyamaze kimya la sivyo tutaandamana nchi nzima tukipiga madebe na sufuria kuwapinga,” alisema.
Hata hivyo, alisema hana imani na Bunge la Katiba linaloendelea kwa kuwa linakwenda ovyoovyo na huenda likaleta katiba ya ovyoovyo.
Chanzo: sehemu ya habri toka Gazeti la Mwananchi
No comments
Post a Comment