Monday, April 21, 2014

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Iringa, Dk Owdenburg Mdegela awataka wajumbe wa Ukawa

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya  Iringa  Dr.OwdenburgMdegela
Wachungaji na  Msaidizi wa Askofu Mchungaji Blastone Gavile  kulia akiwa na Mchungaji Mkuu wa jimbo wa Kwanza Mwanamke kwa KKKT-Tanzania Mchungaji Agnes Kulanga akiwa na Mwambata wa Askofu Mchungaji Lunodzo mang'ulisa wote kwa pamoja  wakifuatilia salam za  Pasaka zilizokuwa  zikitolewa na Askofu Dr Mdegela
waumini  wa KKKT Usharika wa Kanisa  Kuu leo
Wanahabari Iringa  wakirekodi salam za Askofu Dr Mdegela  leo
Waumini wa Kanisa  hilo na  wageni kutoka nje wakifuatilia salama za Askofu Dr  O.M Mdegela
Katibu wa Asas za Kiraia mkoa  wa Iringa Raphael Mtitu kulia akifuatilia salama za Askofu Dr O.M Mdegela


 mdau wa mtandao huu  Stivin Lwambati wa pili  kulia akifuatilia salam hizo 
Askofu Dr Mdegela akitoa  salam  za Pasaka
Kwaya  kuu ikiimba Akitoa salamu za Sikukuu ya Pasaka kwenye Kanisa Kuu Iringa, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Iringa, Dk Owdenburg Mdegela aliwataka wajumbe wa Ukawa kurudi bungeni kuendelea na mjadala wa katiba na wasiende kwa wananchi kwa kuwa wameona kila kitu kinachoendelea bungeni.
“Ukawa warudi bungeni au wanyamaze kimya la sivyo tutaandamana nchi nzima tukipiga madebe na sufuria kuwapinga,” alisema.
Hata hivyo, alisema hana imani na Bunge la Katiba linaloendelea kwa kuwa linakwenda ovyoovyo na huenda likaleta katiba ya ovyoovyo.
Chanzo: sehemu ya habri toka Gazeti la Mwananchi

No comments:

Post a Comment