Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Sunday, April 15, 2018

Simba waanza Kuwaandalia Mwarobaini Tanzania Prisons

Baada ya kupewa mapumziko ya siku moja, kikosi cha Simba kinaendelea na mazoezi jioni hii katika Uwanja wa Boko Veterani kujiandaa na mchezo wa ligi dhidi ya Tanzania Prisons.

Simba itakuwa mwenyeji dhidi ya Prisons Jumatatu ya Aprili 16 katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

Kikosi hicho kinafanya mazoezi hayo baada ya kuibuka na ushindi katika mchezo uliopita dhidi ya Mbeya City FC kwa jumla ya mabao 3-1.

Simba wako kileleni mwa msimamo wa ligi hivi sasa wakiwa na alama 55 kibindoni, huku Yanga ikishika nafasi ya pili kwa kujikusanyia pointi 47.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment