Latest News

GNM Cargo

GNM Cargo
GNM CARGO & LOGISTICS

menu

Friday, March 30, 2018

Zlatan Ibrahimovic apokewa kifalme na mashabiki wa timu yake mpya


Mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic amepokelewa kifalme na mashabiki wa timu yake mpya ya LA Galaxy ya nchini Marekani.

Ibrahimovic alitua katika uwanja wa ndege wa Los Angeles International Airport na kukutana na umati mkubwa wa mashabiki wa LA Galaxy.

March 23 ya mwaka huu, Zlatan alisaini mkataba wa kujiunga na timu hiyo ambayo inashiriki ligi kuu ya Marekani.

« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment