Latest News

GNM Cargo

GNM Cargo
GNM CARGO & LOGISTICS

menu

Thursday, March 22, 2018

Yanga yakutanishwa na Waiethiopia kombe la shirikisho

Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho, Yanga wamepangwa na timu ya Ethiopia.

Katika droo iliyofanyika leo jijini Cairo, Misri, Yanga imepangwa kucheza na Wolaitta Dicha ya nchini Ethiopia.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment