Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Friday, March 30, 2018

Mahakama yawatoza faini Waziri na IGP kwa kudharau Mahakama


Mahakama nchini Kenya imewahukumu Waziri wa Mambo ya Ndani Fred Matiang'i, Mkuu wa Uhamiaji Gordon Kihalangwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Joseph Boinnet kulipa faini ya shilingi za Kenya 200,000 (Sh4.4m) kwa kosa la kuidharau Mahakama.

Jaji George Odunga aliwaamuru maafisa hao waandamizi wa serikali kufika Mahakamani siku ya Jumatano, kwa ajili ya kuhukumiwa, baada ya kutiwa hatiani kwa kudharau Mahakama baada ya kukaidi amri ya kumuachia mwanasiasa wa upinzani Miguna Miguna.

Jaji Odunga ameagiza pesa hizo zikatwe kwenye mishahara yao.

« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment