Latest News

GNM Cargo

GNM Cargo
GNM CARGO & LOGISTICS

menu

Thursday, March 22, 2018

Bayern Munich kumchukua kocha wa Tottenham

Kocha wa Tottenham Hotspurs, Mauricio Pochettino, ameripotiwa kusajiliwa na wababe wa Bundesliga, Bayern Munich, mwishoni mwa msimu huu.

Taarifa zinaeleza kuwa vinara hao wa Ligi Kuu nchini humo wanaweza wakamsajili Kocha huyo ili kuchukua nafasi ya Jupp Heynckes ambaye ametangaza kustaafu kufundisha soka pale msimu huu utakapomalizika.

Heyneckes alichaguliwa kuinoa Bayern mapema baada ya kuachana na alieyekuwa Kocha wa timu hiyo Carlo Ancelloti mwezi Oktoba mwaka 2017.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment