Nguvu na uwezo alionao Malkia Elizabeth
Writen by
sadataley
9:18 AM
-
0
Comments
1. Haitaji leseni ya gari, huendesha bila leseni2.Husafiri bila passport nje ya nchi3.Huwa anasherehekea siku ya kuzaliwa mara mbili, ile ya kweli 21 april na jumamosi ya jully4. Ana mtunga mashairi wake maalumu.5.Ana ATM mashine yake binafsi ya kutoa ela6.Bila ruhusa yake hakuna muswada utapitishwa kuwa sheria7. Ana uwezo wa kutolipa kodi8.Ana uwezo wa kumuonya waziri yoyote, na hata kumwajibisha9. Ni malkia wa Australia pia10. Ukiacha ukuu wake katika UK na Australia pia anaongoza nchi zifuatazo Antigua and Barbuda, the Bahamas, Barbados, Belize, Canada, Grenada, Jamaica, New Zealand, Papua New Guinea, Saint Kitts and Nevis, Saint Lucia, Saint Vincent and the Grenadines, Solomon Islands, na Tuvalu.11.Ni mwenyekiti wa kanisa la Anglikana12. Ana uwezo wa kuivunja serikali ya Australia13. Anakinga ya kutoshitakiwa14. Anamiliki ndege aina ya swans, kongoro katika mto thames15. Anauwezo wa kumteuwa spika kwa amri yake
No comments
Post a Comment