Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Wednesday, August 2, 2017

Huyu ndie Mkurugenzi mpya wa FBI

Christopher Wray 

Washington.Bunge la Seneti nchini Marekani limepiga kura ya kumthibitisha Christopher Wray kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kijasusi la Marekani la FBI.

Nafasi hiyo ilikuwa wazi tangu James Comey alipoondolewa kwenye wadhifa huo na  na Rais Donald Trump  Mei.

Aliondolewa baada ya  uchunguzi aliokuwa akiufanya kuhusu Urusi kuingilia uchaguzi wa nchi hiyo uliompa ushindi   Trump.

Christopher Wray ni mmoja wa maofisa wa ngazi za juu wa mahakama ya nchi hiyo ambaye amefanya kazi chini ya Rais George Bush.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment