Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Wednesday, July 26, 2017

Rais Magufuli kuzindua wodi mpya ya Wazazi Amana Hospital, Dsm

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda leo Julai 25 amefanya ukaguzi katika ujenzi wa jengo la wodi ya wazazi la ghorafa tatu kwenye Hospitali ya Amana Jijini Dar es salaam, ambapo ameridhishwa na ujenzi  wa jengo hilo lililogharimu kiasi cha zaidi ya Sh. bilioni 1 na kuahidi kwamba  katika siku zijazo atamuomba Rais Magufuli kuzindua jengo hilo.
Ufadhili wa ujenzi wa jengo hilo umetolewa na Kampuni ya Amsons ambao wamejenga  kwa gharama zao.
Kukamilika kwa ujenzi huo kutasaidia wakina mama 150 watakaofikishwa katika hospitali  hiyo kwa wakati mmoja.
Jengo wanalotumia Wazazi mpaka sasa Hospitalini hapo
Kwa upande wake, Meneja wa ukuzaji biashara wa kampuni ya Amsons Group,Suleiman Amon, alisema ujenzi huo utakuwa na ghorofa tatu 

Hata hivyo RC Makonda ametoa wito wa kutunzwa majengo hayo ili yaweze kudumu kwa muda mrefu, na magodoro yaliyoyolewa yatapunguza changamoto kwa wazazi ambao wamekuwa  wakilala watatu hadi wanne katika godoro moja,” alisema.

« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment