Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Tuesday, July 18, 2017

Mwili wa Mke wa Waziri Mwakyembe ulivyoagwa Dsm

Mamia ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, leo wameshiriki katika ibada ya kumuaga mke wa Dk Harrison Mwakyembe, Linah Mwakyembe.

Pamoja na Mkapa, viongozi kadhaa wa Serikali akiwamo Jaji Kiongozi, Katibu Mkuu Kiongozi, mawaziri, wake wa viongozi wastaafu, wake wa mawaziri, wanasiasa na wasanii.ibada iliyofanyika katika kanisa la KKT Kunduchi jijini Dar es salaam ikiwa ni maandalizi ya kuusafirisha mwili huo kuelekea mkoani Mbeya kwaajili ya mazishi.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment