Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Tuesday, July 18, 2017

Balozi wa Papa awasili nchini


 Na Bernard James

BALOZI wa Vatikani nchini Tanzania Askofu Mkuu Marek Solczyńskiamewasili nchini Julai 12, majira ya sa 9 usiku, huku akilakiwa na Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dodoma Mhashamu Beatus Kinyaiya.
Aidha Balozi huyo mpya amelakiwa na Katibu Mkuu wa Balozi wa Vatikani nchini Daniel Pacho, Askofu Liberatus Sangu wa Jimbo Katoliki Shinyanga, Askofu Alfred Maluma wa Jimbo Katoliki Njombe, Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania Padri Daniel Dulle, wawakilishi wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam na baadhi ya watendaji wa TEC.
Kabla ya kuteuliwa kuja nchini, Askofu Mkuu Solczyński alikuwa Balozi wa Vatikani nchini Georgia, Armenia na Azerbaijan.

TEC BLOG
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment