Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Tuesday, July 25, 2017

Aliyemuita Kafulila Tumbili aibuka


Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu Jaji Fredrick Werema ameibuka na kueleza juu ya kauli yake ya  kumuita 'Tumbili'Mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini, David Kafulila

ni siku chache Tangu Rais John Magufuli kuwaeleza kwamba waliomuita Mbunge huyo Tumbili wao ndio watakao kuwa matumbili

walema amempongeza Kafulila kwa ujasiri wa kutete Maslahi ya Umma na kwamba alionyesha uzalendo wa hali ya juu unaopawsa kuigwa.

Walema ameeleza kuwa watu hawakuelewa alichomaanisha na kwamba alieleza kuwa" tumbili haamui mambo ya msituni, na huo ni msemo wa kawaida tu"
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment