Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Monday, April 10, 2017

TFF yatangaza tarehe ya Mkutano Mkuu

Shirikisho la Soka Tanzania TFF, limetangaza kufanya Mkutano wake Mkuu siku ya Jumapili ya Agosti 12, 2017.

Maamuzi hayo yamefanyika katika kikao cha Kamati ya Utendaji cha Shirikisho hilo, kilichokutana  leo Jumapili Aprili 9, 2017 ambapo miongoni mwa ajenda katika mkutano huo, itakuwa ni uchaguzi mkuu wa TFF.

Kwa mujibu wa Katiba, uchaguzi huo utachagua Rais wa TFF, Makamu Rais wa TFF na Wajumbe wa Kamati ya Utendaji.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment