Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Wednesday, April 12, 2017

Rais dkt. Magufuli apokea taarifa ya utendaji kazi ya takukuru ya 2015/2016

  Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea toka kwa Mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU Kamishna Valentino Mlowola Taarifa ya Utendaji Kazi wa TAKUKURU ya mwaka 2015/2016 Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne 11, 2017.

   Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli baada ya kupokea Taarifa ya Utendaji Kazi wa TAKUKURU kwa mwaka 2016/2017 Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne 11, 2017.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na Mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU Kamishna Valentino Mlowola na watendaji wa taasisi hiyo baada ya kukabidhiwa Taarifa ya Utendaji Kazi wa TAKUKURU kwa mwaka 2015/2016 Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne 11, 2017.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment