Writen by
sadataley
12:55 PM
-
0
Comments
Korea Kaskazini imesema kuwa ulipuaji wa makombora manne hiyo jana
ulikuwa mafunzo ya kujiandaa kushambulia vituo vya kijeshi vilivyoko
nchini Japan na kwamba shughuli hiyo ilisimamiwa na kiongozi wa Taifa
hilo katili Kim Jong-un.
Rais Trump alifanya mashauriano kwa njia ya simu na Waziri Mkuu wa
Japan, Shinzo Abe, na Rais wa muda wa Korea Kusini kujadili jinsi ya
kujibu kitendo hicho.
''Korea kaskazini imefyatua makombora yake manne leo na kuangukia karibu na eneo letu la maji lenye manufaa kwetu kiuchumi.
No comments
Post a Comment