Writen by
sadataley
8 years ago
-
0
Comments
Kiwanja cha ndege cha Dodoma, sasa
kinauwezo wa kupokea ndege zenye uwezo wa kubeba abiria 90, baada ya
kurefushwa kwa barabara ya kutua na kuruka kwa ndege kwa kilometa 2.5.
Ndege ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL), leo ikitua kwenye kiwanja cha ndege cha Dodoma ikitokea mkoani Kigoma.
Mizigo ya abiria wa ndege ya
shirika la ndege Tanzania (ATCL), ikiwa ndani ya gari la kampuni
inayotoa huduma ya mizigo ya National Aviation Services (NAS), kwenye
Kiwanja cha ndege cha Dodoma.
Mkuu wa Dodoma (kushoto) Mhe.
Jordan Rugimbana akielekea kupanda ya ATCL akiwa ni mmoja wa abiria
akitokea kwenye Kiwanja cha ndege cha Dodoma na kuelekea Kiwanja cha
Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA). Kulia ni Meneja wa
kiwanja hicho, Bw. Julius Mlungwana.
Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Mhe.
Jordan Rugimbana (kulia) akiagana na Meneja wa Kiwanja cha Ndege cha
Dodoma, Bw. Julius Mlungwana kabla ya kupanda ndege ATCL, akielekea
Jijini Dar es Salaam, leo.
Wanafunzi wa kidato cha nne katika
shule ya sekondari ya Uwela ya kitongoji cha Kikuyu mkoani Dodoma
wakiwa katika ziara ya mafunzo kwenye Kiwanja cha ndege cha Dodoma, leo.
No comments
Post a Comment