Writen by
sadataley
12:23 PM
-
0
Comments
Katibu
wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela
Lubinga akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ofisi Ndogo
Makao Makuu ya UVCCM Taifa.
Kaimu
katibu UVCCM Shaka Hamdu Shaka wa pili kulia akimuonyesha ofisi
mbalimbali Katibu wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali
Mstaafu
Ngemela Lubinga mara baada ya kuwasili Ofisi
Ndogo Makao Makuu ya UVCCM Taifa
Kaimu
Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akitoa ufafanuzi na kumkaribisha
Katibu wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu
Ngemela Lubinga kuzungumza na wajumbe Wa Sekretariet Ya UVCCM TAIFA
pamoja na wafanyakazi Ofisi Ndogo Makao makuu Uvccm Dar es Salaam.
Kaimu
Katibu Mkuu Uvccm Taifa Shaka Hamdu Shaka akizungumza jambo na Katibu
wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu
Ngemela Lubinga Ofisi ndogo Makao makuu Uvccm Dar es Salaam.
Naibu Katibu UVCCM Bara Ndg:Mfaume kizingo akiagana na Katibu wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga Ofisi Ndogo Makao makuu Uvccm Dar es Salaam.
wajumbe wa Sekretariet ya UVCCM Taifa wakimuaga Katibu wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu
Ngemela Lubinga Ofisi Ndogo Makao makuu Uvccm Dar es Salaam. Picha zote na Fahady Siraji
Viongozi Wakimsikiliza kwa makini
Mkuu
wa Utawala UVCCM Taifa Omary ng'wanangwalu akimsikiliza Katibu wa NEC
Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu
Ngemela Lubinga
Katibu wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu
Ngemela Lubinga akizungumza Wajumbe Sekretariet Ya UVCCM TAIFA pamoja na
wafanyakazi Ofisi Ndogo Makao makuu Uvccm Dar es Salaam.
picha ya Pamoja ya Katibu wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu
Ngemela Lubinga pamoja na Wajumbe wa Sekretariet Ya UVCCM TAIFA Ofisi Ndogo Makao makuu Uvccm Dar es Salaam.
Naibu Katibu UVCCM Bara Ndg:Mfaume kizingo akiagana na Katibu wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga Ofisi Ndogo Makao makuu Uvccm Dar es Salaam.
No comments
Post a Comment