Writen by
sadataley
8:16 AM
-
0
Comments
Chifu mpya wa Wahehe Mtwa Adam wa Pili akisimikwa rasmi hapo jana
Atakaye kaimu nafasi ya Chifu mpya wa Wahehe Mdogo wa marehemu Saleh Sapi akikabidhiwa zana rasmi kuanza kazi mpaka Chifu atakapotimiza miaka 20
Chifu mpya wa Wahehe Mtwa Adam wa Pili katikati akiwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete kushoto kwa Chifu ni Mdogo wa marehemu Saleh Sapi kaimu Chifu wa Wahehe na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Mzee Philip Mangula
No comments
Post a Comment