Writen by
sadataley
1:55 PM
-
0
Comments
Rais wa Nigeria anusurika bomu
Bomu limelipuka kazkazini mwa Nigeria nje ya uwanja mmoja wa soka ambapo rais Goodluck Johnathan alikuwa amehutubia mkutano wa kampeni za uchaguzi.
Walioshuhudia wanasema kuwa mlipuko huo ulitokea katika eneo moja la kuegesha magari dakika chache tu baada ya rais huyo kuondoka katika uwanja huo uliopo mji wa Gome.Siku ya jumapili watu watano waliuawa na bomu huko Gombe.
Chanzo: BBC
No comments
Post a Comment