Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Monday, January 5, 2015

KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA DAYOSISI YA IRINGA YAMUINGIZA KAZINI MCHUNGAJI DONALD KIWANGA . ANAKUWA MKUU WA JIMBO LA KUSINI MAGHARIBI (IHEMI)

 Askofu Dkt. Owdenburg M. Mdegella akimkabidhi vitendea kazi Mkuu wa Jimbo la Kusini Magharibi Mchungaji  Donald  Kiwanga
  Pichani Wakuu wa Majimbo na baadhi ya Wachungaji waliohudhuria ibada hiyo.
Marafiki wa Dayosisi ya Iringa toka Dayosisi ya Mtakatifu Paul Marekani wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kushiriki ibada ya kuingizwa kazini Mkuu wa Jimbo la Ihemi Mchungaji Donald Kiwanga kutoka kushoto ni  Carol Langness  mke wa Mchungaji  Gary na wengine ni Trish na Rodger Blomquist

Picha na Rodger Blomquist
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment