Writen by
sadataley
2:44 PM
-
0
Comments
WAKATI jana wananchi wa mitaa 11 katika manispaa ya Iringa wamefanya marudio ya uchaguzi wa serikali za mitaa chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kimefanikiwa kukizika rasmi chama cha mapinduzi (CCM) baada ya kuibuka kifua mbele katika mitaa yote .
No comments
Post a Comment