Writen by
sadataley
6:26 AM
-
0
Comments
MTANGAZAJI NA MWANDISHI MAHIRI WA SIKU NYINGI NCHINI BEN KIKO AFARIKI DUNIABen Kiko atakumbukwa kwa mchango wake katika uandishi wa habari na utangazaji, atakumbukwa pia kwa kazi nzuri alizowahi kufanya ikiwa kuripoti vita ya Kagera,
Ben Kiko (kushoto) akipokea Cheti cha kuwa mteule katika tuzo ya umahiri wa maisha ya taaluma ya uandishi wa habari (Picha na Adam Mzee)
Tuzo zinazojulikana kama EJAT zinazotolewa na Baraza la Habari Tanzania (MCT)
No comments
Post a Comment