Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Tuesday, November 4, 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA MSIBA WA RAIS WA ZAMBIA, MICHAEL CHILUFYA SATA

 Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Rais wa Zambia, Michael Chilufya Sata, wakati alipofika nyumbani kwa Balozi wa Zambia nchini Tanzania, Judith Kapijimpanga, jijini Dar es Salaam,  Picha na OMR

Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Balozi wa Zambia nchini Tanzania, Judith Kapijimpanga, baada ya kusaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Rais wa Zambia, Michael Chilufya Sata, nyumbani kwa, Balozi huyo jijini Dar es Salaam,  Picha na OMR
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment