Writen by
sadataley
6:38 PM
-
0
Comments
Mara Baada ya Ibada katika Kanisa la Azania Front wakati wa kuadhimisha miaka 85 ya kuzaliwa ya aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Philemoni Mgaya
Baadhi ya waumini mbalimbali wakiwa nje baada ya Ibada(Martha Magessa)
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Mstaafu Philemoni Mgaya akiwa katika siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake
Keki.
Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya akimpongeza aliyekuwa IGP Philemoni Mgaya.
Mzee Timothy Msangi akieleza Historia fupi ya IGP Mstaafu Philemoni Msangi
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kilutheli Tanzania (KKKT) Alex Malasusa akitoa salam za Pongezi kwa IGP mstaafu
Mshauri wa kimataifa wa Kujitegemea wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Limited James Rugemalira akitoa pongezi zake kwa IGP Mstaafu na kuelezea Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Limited
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Benedicta Rugemalira akitoa salam za Pongezi kwa IGP mstaafu
Mshereheshaji Joe Mgaya ambaye ni Mtoto wa IGP Mstaafu Philemoni Mgaya akisherehesha
Waziri wa Habari na Utangazaji Fenera Mukangara akimpa mkono wa Pongezi IGP mstaafu
Wakiwa katika Furaha
IGP Mstaafu Philemoni Mgaya akikata keki huku amezungukwa na wajukuu wake
Watu mbalimbali wakiwa katika Sherehe hiyo
Burudani ya nguvu
Habari na picha kwa hisani ya Mjengwa blog
No comments
Post a Comment