Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Tuesday, October 28, 2014

RAIS KIKWETE AANZA ZIARA VIETNAM
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa  na mwenyeji wake Rais Mhe Truong Tan Sang wa Vietnam  wakati wa mapokezi yake rasmi katika Ikulu ya Hanoi katika siku ya kwanza ya ziara yake rasmi  ya siku mbili nchini humo Jumatatu Oktoba 27, 2014
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokea shada la maua akishuhudiwa na mwenyeji wake Rais Mhe Truong Tan Sang wa Vietnam  wakati wa mapokezi yake rasmi katika Ikulu ya Hanoi katika siku ya kwanza ya ziara yake rasmi  ya siku mbili nchini humo jana Jumatatu Oktoba 27, 2014
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Mhe Truong Tan Sang wakikagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake wakati wa mapokezi yake rasmi katika Ikulu ya Hanoi katika siku ya kwanza ya ziara yake rasmi  ya siku mbili nchini humo jana Jumatatu Oktoba 27, 2014
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na vijana baada ya kutembelea kampuni ya mawasiliano ya VIETTEL Jumatatu Oktoba 27, 2014
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam Ndugu Nguyen Phu Trong, katika Makao Makuu ya Kamati Kuu ya Chama hicho tawala cha nchi hiyo jana Jumatatu Oktoba 27, 2014.Picha na Ikulu.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment