Latest News

GNM Cargo

GNM Cargo
GNM CARGO & LOGISTICS

menu

Wednesday, October 22, 2014

Mizengo Pinda kuwania Urais Tanzania

Waziri mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda, ametangaza niya yake ya kuwania urais katika uchaguzi ujao .
Pinda aliyasema hayo mjini London ambako mkutano wa viongozi unaoangazia uwekezaji zaidi katika bara la Afrika unaendelea .
Viongozi hao wanatumaini kuyashawishi mashirika makubwa zaidi ya uwekezaji, katika mkutano huo wa siku mbili, kwamba yanafaa kuwekeza zaidi katika mataifa ya Afrika, hasa Nigeria, Uganda, Tanzania, Rwanda, Ghana na Togo.
Ingia hapa kuangalia  mahojiano yake na bbc swahili http://www.bbc.co.uk/swahili/medianuai/2014/10/141021_pinda_urais_tanzania

« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment