Writen by
sadataley
8:22 PM
-
0
Comments
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda na mkewe Tunu Pianda wakikabidhi zawadi maalu ya Serikali kwa Askofu Mpya wa Dayosisi Mpya ya Ziwa Tanganyika Askofu Ambele Mwaipopo huku Askofu wa Dayosisi ya Konde Dr. Israel Mwakyolile akifuatilia na wa kwanza kulia ni mke wa askofu Ambele Mwaipopo mama Tunsume Mwaipopo tukio lililofanyika siku ya jana.
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akitoa salam za Serikali kwenye tukio la kumsimika rasmi Askofu Mpya wa Dayosisi Mpya ya Ziwa Tanganyika Askofu Ambele Mwaipopokatika ibada ya kumsimika Askofu huyo iliyofanyika kwenye Kanisa kuu la Kiinjili la Kilutheri mjini Sumbawanga jana.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (kushoto) wakiwa katika Picha ya pamoja na Askofu wa Dayosisi ya Ziwa Tanganyika, Ambele Mwaipopo na mkewe Tunsume Mwaipopo (kulia) katika katika ibada ya kumsimika Askofu huyo iliyofanyika kwenye Kanisa kuu la Kiinjili la Kilutheri mjini Sumbawanga jana (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments
Post a Comment