Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Thursday, July 10, 2014

Sudan Kusini wanasheherekea mwaka wa tatu wa uhuru wake .

Wacheza ngoma mbali mbali wakisheherekea kwa ngoma miaka mitatu ya uhuru wa Sudan Kusini huko  Juba, July 9, 2014.
Wacheza ngoma mbali mbali wakisheherekea kwa ngoma miaka mitatu ya uhuru wa Sudan Kusini huko Juba, July 9, 2014.
Sudan Kusini Jumatano inasheherekea mwaka wa tatu wa kujitenga kwake na Sudan .
Lakini baadhi wanasema kuna kidogo sana cha kusheherekea  ikiwa nchi hiyo iko  kati kati ya vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo vimesababisha watu kadhaa kupoteza makazi yao na  njaa ikiwa inakuja pamoja na rushwa.
Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Ban Ki Moon jumanne amewataka Salva Kiir na kiongozi muasi makamu rais wa zamani Riek Machar kutimiza yale wanayotarajiwa kufanya na watu wao  kwa kuweka silaha chini na kurudi kwenye meza ya mazungumzo.
Waziri wa mambo ya nje Barnaba  Marial Benjamin amesema watu wa Sudan Kusini wana mengi ya kusherekea kwa sababu wana uhuru. Alisema waasi ambao aliwataja kama wafanya fujo wamekuwa wakizuia mazungumzo yaliolenga kumaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment