Writen by
sadataley
6:22 PM
-
0
Comments
Tunakujulisha kuwa Idhaa ya kiswahili ya BBC itakutangazia moja kwa moja mechi ya ufunguzi ya kombe la dunia kati ya Brazil na Croatia sa 4 unusu saa za afrika mashariki na hapo kesho mechi kati ya Camerooun na Mexico kuanzia saa 12 na nusu halikadhalika michuano inayohusu timu za Afrika.
No comments
Post a Comment