Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Saturday, May 17, 2014

Wanamgambo wavamia kiwanda Cameroon

 
Maafisa nchini Cameroon wanasema kuwa kumekuwa na shambulizi katika kiwanda kimoja cha raia wa Uchina kazkazini mwa taifa hilo.
Ubalozi wa Uchina nchini Cameroon umesema kuwa takriban watu kumi wametoweka huku mtu mmoja akijeruhiwa katika kile ilichoelezea kama shambulizi kutoka kwa watu wasiojulikana.
Kisa hicho kimetokea karibu na mpaka wa kazkazini mashariki mwa Nigeria ambayo ndio ngome kuu ya kundi la wanamgambo wa kiislamu wa Boko Haram.
Wanamgambo hao wamefanya mashambulizi kadhaa nchini Cameroon .
Mwaka uliopita waliiteka nyara familia moja ya Ufaransa kabla ya kuiwachilia huru baada ya miezi miwili.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment