Writen by 
                            sadataley
3:58 PM
                            - 
                            
0
                            Comments
                          
                  
  
  
Majaji waliamua kuwa mkewe Mason hakufanya kosa  lolote
Kuna kisa kimeibuka nchini 
Uingereza ambapo mwanamume mmoja kwa jina David Mason, mwenye umri wa 
miaka 30, alimshitaki mkewe Brenda kwa kumnyima haki yake ya kingono au 
kukataa kushiriki tendo la ndoa.
Mwanamke huyo alimfanyia mgao wa wiki moja kila mwezi wa kitendo cha ndoa mumewe kwa hofu ya kushika mimba kwa mara ya tatu.Kwa mujibu wa jarida la mtandao la Mirror, la Uingereza, Bwana Mason, ambaye kazi yake ni fundi mitambo alishinda kesi hiyo mwaka 1980.
Lakini mkewe alikataa rufaa ambapo Mason alipoteza kesi hiyo baada ya majaji kusema kuwa mahakama isingeweza kuamua kuwa mkewe Mason alimkosea.
Nini maoni yako kuhusu tukio hili?
 
 
 
 
 
 
 
No comments
Post a Comment