Writen by
sadataley
12:27 PM
-
0
Comments
Siku ya kimataifa ya Radio : UNESCO yapongeza mchango wa radio katika jamii
Laurent Sadoux, mwanahabari wa idhaa ya kifaransa ya rfi, akitangaza moja kwa moja habari za mchana
Christophe Carmarans / RFI
Dunia hii leo inaadhimisha siku ya kimataifa ya Radio huku umoja wa mataifa ukisema kuwa bado kuna changamoto nyingi kuhusiana na usawa wa wanawake na wanaume katika vyombo vya utangazaji. Shirika la umoja wa mataifa la sayansi na utamaduni UNESCO limesema kuwa bado kuna kazi kubwa inayohitajika kufanywa ili kuhamasisha na kuleta usawa baina ya jinsia hizo mbili.
Hata hivyo UNESCO imenpongeza juhudi zinazofanywa na vyombo vya habari, hasa Radio kwa kuunganisha jamii, kuhamasiha raia kuzingatia amani, maendeleo, haki za binadamu na mengineyo.
“Radio ni sauti inayokwenda mbali”, amesema Irina Bokova, mkurugenzi mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya sayansi na utamaduni UNESCO.
Lakini mbali na hio, amependekeza katika kuadhimisha siku hii ya kimataifa kuweko na jukumu la kumshirikisha mwananchi katika Radio, hasa akitoa mchango wake kwa manufaa ya kuendeleza jamii.
Irina Bokova, amepongeza mchango wa radio wakati nchi ya Haiti ilipokumbwa na majanga.
Kwa mujibu wa mkuu wa maendeleo ya vyombo vya habari na jamii wa UNESCO Mirta Lourenco, bado hakuna usawa katika vyombo hivyo vya utangazaji na mfumo dume unaendelea kutawala katika vyombo vingi.

No comments
Post a Comment