Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Sunday, February 9, 2014

MATOKEO ya udiwani katika kata tatu za Mkoa wa Iringa yametangazwa huku CCM ikishinda vituo vyote.

CCM YAPATA KATA 24 HUKU CHADEMA IKIPATA KATA 3

MATOKEO YA UDIWANI KATA YA SOMBETINI ARUSHA.
CHADEMA KURA 2548
CCM KURA 2077
CUF 33

KATA YA KIBORILONI
CHADEMA KURA 1001
CCM 254. 


CCM WANYAKUA VITI VYA UDIWANI MOROGORO 
 
MATOKEO ya udiwani katika kata tatu za mkoa wa Iringa yametangazwa huku CCM ikishinda vituo vyote.

Kata ya Nduli, manispaa ya Iringa, Mgombea wa CCM Bashir Mtove ameshinda kwa kura 904 dhidi ya mpinzani wake, Ayub Mwenda (CHADEMA)aliyepata kura 499.


Kata ya Ibumu , Wilaya ya Kilolo, CCM imeshinda kwa kura 1400, dhidi ya kura 400 za Chadema.


Kata ya Ukumbi, Wilayani Kilolo CCM imeshinda kwa kura 1479 dhidi ya kura 829 za chadema.


Matokeo kata Ukumbi
CCM 1400, CHADEMA 400.


Ibumu Kilolo CCM-1293 chadema 728
CHANZO http://mwitikio.blogspot.com.

UCHAGUZI KATA YA NAMIKANGO
(NACHINGWEA.....)
Chama Kura

ADC -9
CUF -110
CHADEMA -188
CCM -517.


KUTOKA BAGAMOYO
:
KIBINDU.Matokeo ya jumla:

CCM- kura 1682(75%),CHADEMA-kura 548(25%).

MAGOMENI Matokeo kwa jumla:
CCM 1183, CUF 708, CHADEMA 347.

KUTOKA LINDI NA MTWARA.
Nimezungumza na Mwenyekiti wa CCM Lindi na aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Chitanda na sasa amehamia CCM ni kwamba,
CCM imeshinda Kata Zote za Uchaguzi Uliofanyika hii leo.Mchanganuo Unakujia hivi Punde.
NACHINGWEA....
ADC -9
CUF -110
CHADEMA -188
CCM -517

KUTOKA KIGOMA JIMBONI KWA ZITTO KABWE,

CHADEMA wamepoteza kata ya MKONGORO Jimboni KWA Zitto Kabwe,Imechukuliwa na CCM(Kata Ilikuwa Inaongozwa na CHADEMA).


KUTOKA MOSHI.
Kata ya Kiboroloni imebakia CHADEMA

KUTOKA KONDOA MATOKEO NI
KONDOA CCM ------------1,296 
CUF---------- 935.
CDM--------29 
NCCR------34
CCM imeshinda 
Habari zote kwa hisani ya Jamii Forum
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment