Writen by
sadataley
5:35 PM
-
0
Comments
UHAMISHO NA UTEUZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI
______________________________________________
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete,
amewahamisha na kuwateua baadhi ya Mawaziri na Naibu Mawaziri kama ifuatavyo:-
1.0
OFISI YA
RAIS
Hakuna mabadiliko.
2.0
OFISI YA
MAKAMU WA RAIS
2.1 Waziri wa Nchi (Muungano) - Hakuna mabadiliko
2.2 Mhe. Eng. Dr. Binilith Satano
MAHENGE (Mb)
Waziri
wa Nchi (Mazingira).
2.3 Mhe. Ummy Ali MWALIMU (Mb)
Naibu
Waziri
3.0
OFISI YA
WAZIRI MKUU
Hakuna mabadiliko
4.0 WIZARA
4.1 WIZARA
YA FEDHA
4.1.1
Mhe. Saada Mkuya SALUM (Mb)
Waziri
wa Fedha
Mhe.
Mwigulu Lameck NCHEMBA (Mb)
Naibu
Waziri wa Fedha
4.1.2
Mhe. Adam Kighoma Ali MALIMA (Mb)
Naibu
Waziri wa Fedha
4.2
WIZARA YA
MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
Hakuna mabadiliko
4.3 WIZARA YA KATIBA NA SHERIA
4.3.1 Mhe. Dkt. Asha-Rose Mtengeti MIGIRO (Mb)
Waziri wa
Katiba na Sheria
4.3.2
Naibu Waziri - Hakuna mabadiliko
4.4 WIZARA YA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI
Hakuna mabadiliko
4.5 WIZARA YA VIWANDA NA
BIASHARA
4.5.1 Waziri - Hakuna mabadiliko
4.5.2 Mhe.
Janet Zebedayo MBENE (Mb)
Naibu
Waziri wa Viwanda na Biashara
4.6 WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA
TAIFA
Mhe.
Dkt. Hussein Ali Mwinyi (Mb)
Waziri
wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
4.7 WIZARA YA UJENZI
Hakuna mabadiliko
4.8 WIZARA YA MAMBO YA
NDANI YA NCHI
4.8.1 Mhe. Mathias Meinrad CHIKAWE (Mb)
Waziri wa
Mambo ya Ndani
4.8.2
Naibu Waziri - Hakuna Mabadiliko
4.9 WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
4.9.1
Mhe. Dkt. Seif Seleman RASHIDI (Mb)
Waziri wa
Afya na Ustawi wa Jamii
4.9.2
Mhe. Dkt. Kebwe Stephen KEBWE (Mb)
Naibu Waziri
wa Afya na Ustawi wa Jamii
4.10 WIZARA
YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
4.10.1 Waziri:
Hakuna mabadiliko
4.10.2 Mhe. Jenista Joakim MHAGAMA (Mb)
Naibu
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi
14.11 WIZARA
YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO
14.11.1 Waziri: Hakuna mabadiliko
14. 11.2 Mhe. Dkt. Pindi Hazara CHANA
(Mb)
Naibu Waziri
wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
14.12 WIZARA
YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI
14.12.1 Mhe.
Dkt. Titus Mlengeya Dismas KAMANI (Mb)
Waziri wa
Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
14.12.2 Mhe. Kaika Saning’o TELELE (Mb)
Naibu Waziri
wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
14.13 WIZARA YA KAZI NA AJIRA
Hakuna
mabadiliko
14.14 WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Hakuna
mabadiliko
14.15 WIZARA
YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI
14.15.1 Waziri - Hakuna mabadiliko
14.15.2 Mhe. George Boniface Taguluvala SIMBACHAWENE
(Mb)
Naibu Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
14.16 WIZARA
YA MAJI
14.16.1 Waziri - Hakuna mabadiliko
14.16.2 Mhe. Amos Gabriel MAKALLA (Mb)
Naibu Waziri
wa Maji
14.17 WIZARA
YA KILIMO, CHAKULA NA USHIRIKA
14.17.1 Waziri - Hakuna mabadiliko
14.17.2 Mhe. Godfrey Weston ZAMBI (Mb)
Naibu Waziri
wa Kilimo, Chakula na Ushirika
4.18 WIZARA YA UCHUKUZI
Hakuna mabadiliko
4.19 WIZARA
YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO
4.19.1 Waziri -
Hakuna mabadiliko
4.19.2 Mhe. Juma Selemani NKAMIA (Mb)
Naibu Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
4.20 WIZARA
YA MALIASILI NA UTALII
4.20.1 Mhe.
Lazaro Samuel NYALANDU (Mb)
Waziri wa
Maliasili na Utalii
4.20.2 Mhe.
Mahmoud Hassan MGIMWA (Mb)
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii
4.21 WIZARA
YA NISHATI NA MADINI
4.21.1 Waziri - Hakuna mabadiliko
4.21.2 Naibu Waziri (Madini) - Hakuna mabadiliko
4.21.3 Mhe. Charles Muhangwa KITWANGA (Mb)
Naibu Waziri (Nishati)
Balozi Ombeni Y. Sefue
KATIBU MKUU KIONGOZI
Ikulu
DAR ES SALAAM
19 Januari,
2014
No comments
Post a Comment