Writen by
sadataley
10:21 PM
-
0
Comments
Nyumba ya ajabu baharini huvutia watalii na wenyeji kwa kupata huduma za Chakula na viwanji. Nyumba hii ikiwa imejengwa kwa mbao na makuti,Hutowa huduma kwa wtu mbalimbali wanaofika katika nyumba hiyo inayoelea baharini
No comments
Post a Comment