Writen by
sadataley
2:32 PM
-
0
Comments
MSAIDIZI WA ASKOFU MCHUNGAJI BLASTONE GAVILE AKIFUNGUA IBADA FUPI YA UZINDUZI WA UGAWAJI WA MICHE.
MSAIDIZI WA ASKOFU MCHUNGAJI BLASTONE GAVILE AKISOMA NENO LA MUNGU KATIKA IBADA YA UZINDUZI WA UGAWAJI WA MICHE.
MRATIBU WA MRADI WA MITI MCHUNGAJI ELISANDE MHANGA AKIMKABIDHI KATIBU MKUU WA DAYOSISI BW. NAYMAN CHAVALLA MCHE WA MTI KAMA ISHARA YA UZINDUZI WA UGAWAJI WA MICHE.
KATIBU MKUU WA DAYOSISI BW. NAYMAN CHAVALLA AKIMKABIDHI MSAIDIZI WA ASKOFU MCHUNGAJI BLASTONE GAVILE MCHE WA MTI KAMA ISHARA YA UZINDUZI WA UGAWAJI WA MICHE.
BAADHI YA WASHIRIKI WA IBADA YA UZINDUZI WA UGAWAJI WA MICHE.
MRATIBU WA MRADI WA MITI MCHUNGAJI ELISANDE MHANGA AKIZUNGUMZA NA MWANDISHI WA RADIO FURAHA BW. JASTIN MGALAMA MARA BAADA YA UZINDUZI WA UGAWAJI WA MICHE HAPA KATIKA OFISI KUU ZA DAYOSISI YA IRINGA
No comments
Post a Comment