Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Tuesday, January 14, 2014

ASASI ISIYO YA KISERIKALI YA KIKUNDI CHA MAZINGIRA MAFIFI(KIMAMA GROUP) YAZINDUA MRADI WA UPANDAJI WA MITI NA UFUGAJI WA NYUKI.


Mwenyekiti wa Kikundi  Kimama Group   Bw. Joshua Nyalusi 
                             Afisa Nyuki wa Wilaya  ya Iringa Bw. Telesphory Kahatano

                                                                    Baadhi ya Washiriki wa Mafunzo

    Mhasibu  wa Kikundi cha Kimama Group  Bw.Clayson Kinyaga akiwakaribisha wageni

     Afisa Mazingira wa Manispaa Bw. Hobokela Mwambeso akisalimu washiriki

                                          Bw. Mhavile  akiuliza swali juu ya ufugaji wa nyuki
       Afisa Nyuki wa Wilaya  ya Iringa Bw. Telesphory Kahatano akitoa mafunzo ya ufugaji wa nyuki







      Picha ni eneo la Mlima wa Mafifi linalokusudiwa kuhifadhiwa na kikundi cha Kimama Group





  Afisa Mazingira wa Manispaa Bw. Hobokela Mwambeso  akitoa mafunzo juu ya Sera na Sheria ya mazingira 



Haya yamefanyika leo hii katika ukumbi wa Vijana wa K.K.K.T Dayosisi ya Iringa  Usharika wa Kihesa ambapo jumla ya washiriki  mia moja hamsini (150) wamehudhuria mafunzo ya ufugaji nyuki na utunzaji mazingira.

Mwenyekiti wa Kikundi hicho Bw.Joshua  Nyalusi amesema jumla ya miti ipatayo elfu nane (8000) inatarajiwa kugawiwa kwa wananchi na kisha kupandwa. Kikundi hiki kimefanikiwa kupata mradi huu ambao umefadhiliwa na  Mfuko wa Misitu Tanzania.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment