Writen by
sadataley
5:23 PM
-
0
Comments
VIJANA WA HALAIKI WALIOANDALIWA MAHUSUSI KUIPAMBA SHEREHE HII LEO HII KATIKA UWANJA WA KUMBUKUMBU YA RAIS SAMORA
PICHANI WAGENI NA WAALIKWA MNALIMBALI WAKIWA JUKWAA KUU
Vijana wa halaiki kutoka shule mbali mbali za Manispaa ya Iringa wakifanya mambo yao kwa ustadi mkubwa
Askari wa FFU wakimshughulikia kijana ambae jina lake halikufahamika aliyetaka kuvamia mwenge wakati wakimbiza mwenge wakiwa mbioni kukabidhi mwenga kwa Rais Jakaya Kikwete uwanja wa Samora Iringa
Rais Jakaya Kikwete akiwa amekabidhiwa rasmi mwenge wa Uhuru leo baada ya kuhitimisha mbio zake nchini
Rais Kikwete akiwa ameushika mwenge wa Uhuru leo uwanja wa samora Iringa
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa mbio za mwenge kikanda
Rais Jakaya Kikwete akipokea mwenge kwa ajili ya kupiga picha ya pamoja na washindi wa mbio hizo kikanda
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa dini
Rais Kikwete akisalimiana na askofu wa Roman Katoliki huku Mchungaji wa KKKT Emson Sandagila akifurahia jambo na Mh. Spika Anne Makinda
Wageni mbali mbali wakiwemo mabalozi wakiwa katika picha ya pamoja na rais Kikwete
Wabunge pamoja na Katibu Mkuu wa CCM Philip Mangula wa kwanza kushoto na Spika wa bunge Anne makinda wa tatu kulia anayefuata ni mbunge wa jimbo la Iringa mjini Peter Msigwa na Wabunge mbalimbali
Mbunge wa jimbo la Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa akisalimiana na Rais Jakaya Kikwete mara baada ya kupiga picha ya pamoja
Wakiwa wenye furaha hapa ni Rais Kikwete akiwa na wabunge wa Chadema Iringa ,mchungaji Peter Msigwa na Chiku Abwao
Mbunge Chiku Abwao akiwa na Spika wa Bunge la jamhuri ya Muungano la Tanzania Mh. Anne Makinda
Rais Kikwete akiwa na wakuu wa Wilaya nchini
No comments
Post a Comment