Writen by
sadataley
9:41 PM
-
0
Comments
LEO HII NI KATIKA MAHAFARI YA 18 YA KIDATO CHA NNE AMBAPO JUMLA YA WANAFUNZI 132 WAMEHITIMU
Maandamano yakielekea sehemu maalum kwa ajili ya kuanza sherehe za mahafali
Maandamano yakielekea sehemu maalum kwa ajili ya kuanza sherehe za mahafali na hapa ni Afisa Mafunzo wa K.K.K.T Dayosisi ya Iringa Mchungaji Elisande Mhanga
Kasisi wa Shule ya Malecela Mchungaji Robson sakafu akiwatayari kufanya ufunguzi wa sherehe za mahafali hii
Mkuu wa Shule ya Sekondari Malecela Mwl. Kelvin Lilawola akikaribisha wageni na kutoa utambulisho
Afisa Mafunzo wa K.K.K.T Dayosisi ya Iringa Mchungaji Elisande Mhanga akitoa salam za Dayosisi
Hapa ni kikundi kimojawapo cha Muziki kikitumbuiza
Risala ya Wanafunzi wa Kidato cha Nne kwa Mgeni Rasmi
Msomaji wa Risala ya Wanafunzi wa Kidato cha Nne akikabidhi Risala kwa Mgeni Rasmi
Wanafunzi wa Kidato cha Nne wakiimba wimbo wao maalum
Mkuu wa Shule Mwl. Kelvin Lilawola akisoma Risala
Hawa ni vijana waliokuwa wakisoma somo la Bible Knowledge wakiimba wimbo wa Kumsifu Mungu
Mwakilishi wa Wazazi akitoa Neno la Shukrani kwa walimu wa shule ya Sekondari Malecela
Afisa Mafunzo wa K.K.K.T Dayosisi ya Iringa Mchungaji Elisande Mhanga akimkaribisha Mgeni rasmi ili aweze kutoa hotuba yake
Mgeni rasmi Bi Mwanaidi Pia ambaye ni Maneja uendeshaji na Utawala wa Kiwanda cha Sukari Kilombero(ILOVO) akitoa hotuba yake
Katibu Mkuu wa K.K.K.T Dayosisi ya Iringa Bw. Nayman Chavalla akitoa itikio la Hotuba ya Mgeni Rasmi
No comments
Post a Comment