Writen by
sadataley
1:04 PM
-
0
Comments
MAMBO YA KUZINGATIA (CHECKLIST)
SHARIKANI
I.
Uaandaaji wa taarifa za Mwaka na vipindi vifupi
(Robo,Nusu, na Mwaka Mzima)
II.
Kuhakiki uhalisia wa miradi mbalimbali kama Ujenzi wa
Makanisa na thamani ya fedha iliyo tumika, vituo vya biashara n.k
III.
Kuhakiki Matumizi yote ya vitabu muhimu kama vile Hati za Malipo, Stakabadhi, fomu za Maombi ya
fedha n.k
IV.
Kuhakiki utumiaji wa Cash Book analysis
V.
Kuhakiki uwepo wa rejesta ya Mali za kudumu na Matumizi yake
VI.
Kuhakiki Mapato, jinsi yanavyo katiwa stakabadhi na
kuingizwa kwenye Cash book analysis
VII.
Kuhakiki Mawasilisho toka mtaa kwenda usharikani,
Jimboni na Ofisi Kuu Dira-Iringa (Form za uchumi)
VIII.
Kuhakiki Mapato Mengine, Michango Mbalimbali na
uhalisia wake katika Matumizi
IX.
Kuhakiki Matumizi ya Usharika kuanzia ngazi ya Mitaa
X.
Kupitia makisio ya Mwaka
XI.
Kulinganisha Makisio na Uhalisia.
XII.
Kuhakiki daftari la sensa ya washarika lipo, na sensa
inafanyika kwa ufasaha
XIII.
Kuhakiki uandishi wa miniti kwa vikao mbalimbali vya
kisharika, na uandishi wa matangazo
XIV.
Kuhakiki utekelezaji wa mipango ya muda mrefu na mfupi
unafanyika kama iliovyo kusudiwa.
XV.
Uwepo wa Vibao elekez.i
XVI.
Kupata takwimu zilizo kamilika kama vile Washarika ni
wangapi,, wangapi wanazo bahasha za ahadi n.k
XVII.
Utekelezaji wa taarifa ya Mkaguzi ya Kipindi kilicho
pita
XVIII.
Utekelezaji wa mapatano ya kiusharika
XIX.
Payroll
JIMBONI
I.
Kuhakikisha taarifa ya jumla inaandaliwa (Consolidation
report)
II.
Kuhakiki kuwa kuna orodha ya jumla ya takwimu za
washarika.
III.
Kuhakiki taarifa mbalimbali za Miradi
IV.
Kuhakiki utekelezaji wa taarifa ya mkaguzi ya wakati
ulio pita.
V.
Kuhakiki utekelezaji wa mipango ya muda mrefu na mfupi
unafanyika kama ilivyo kusudiwa.
VI.
Ipi ni mipango endelevu ya kijimbo
VII.
Ikama
VIII.
Utekelezaji wa mapatano ya Kijimbo
IX.
Mambo mengine yanayo fanana na checklist ya usharika
TAASISI (SHULE)
i.
Kuhakiki Utunzaji bora wa Vitabu vya fedha
ii.
Kuhakiki stock taking ya Mwaka
iii.
Kuhakiki na kupitia Daftari la kutunzia Mali
za Kudumu.
iv.
Kuhakiki kuingia na kutoka kwa Bidhaa store na kulinganisha
na fedha jinsi ilivyo tumika (Delivery), Ikiwa ni pamoja na jinsi manunuzi
yanavyo fanyika.
v.
Kuhakiki matumizi ya gari na log book.
vi.
Kuhakikisha usalama wa fedha taslimu kwa kutumia safe
upo
vii.
Kuhakikisha kama Udhibiti wa ndani upo.yaani uwepo wa
Daily cash counting n.k
viii.
Kuhakikisha Malinganisho ya kibenk yanafanyika kwa
wakati husika
ix.
Kuhakikisha Malinganisho ya wadai na wadaiwa ipo na
inafanya kazi kama inavyo takiwa.
x.
Kuhakikisha taarifa zote za muda mrefu na mfupi
zinaandaliwa kwa wakati
xi.
Kuhakiki utekelezaji wa Mipango unavyofanyika kama
ilivyo kusudiwa.
xii.
Kuhakiki utunzaji bora wa store ya bidhaa mbalimbali
kama vile dawa, chakula n.k
xiii.
Kuhakiki utunzaji bora wa maktaba (Special kwa shule)
xiv.
Kuhakiki muondoka wa taslim (Cash flow ya kila mwezi,
robo mwaka, nusu mwaka na mwaka kamili ipo)
xv.
Utekelezaji wa taarifa ya Mkaguzi wa ndani na wa nje
kwa kipindi kilicho pita.
xvi.
Surprising Audit itafanyika wakati wowote ule,
itahusisha logbook, uhalali wa safari, malinganisho ya fedha taslimu na Cash
book, bank reconciliation, utekelezaji wa maazimio mbalimbali n.k.
xvii.
Uhakiki wa mafaili mbalimbali
xviii.
Namengine yanayo fana na hayo.
IDARA NA VITENGO
I.
Kuhakiki utekelezaji wa Mipango ya muda mrefu na muda
mfupi unafanyika
II.
Kuhakiki taarifa za Idara (Narative na financial
reports) kama zina uhalisia zikilinganishwa na Makisio.
III.
Kuhakiki utekelezaji wa majukumu kama yalivyo ainishwa
kwenye katiba na maelezo ya kazi (Job Discription)
IDARA YA MALEZI YA VIJANA NA
ELIMU YA KIKRISTO
a)
Kuhakiki kama mikutano, semina, makambi ya vijana,
makongamano ya walimu wa kwaya na Sikukuu ya Uimbaji katika Dayosisi
vimeandaliwa na kusimamiwa
b)
Kuhakiki Uwepo wa Makisio ya Idara na utekelezaji wake kama unasimamiwa ipasavyo.
c)
Taarifa yenye takwimu juu ya madarasa ya Ubatizo na
Kipaimara kama yanafundishwa Ipasavyo yanafundishwa ipasavyo.
d)
Kuhakiki kama vifaa na mali za Idara vinatunzwa Ipasavyo.
e)
Kuhakiki kama Idara inanjia sahihi za kusustain kama vile
kujitegemea kwa Idara kiuchumi.
f)
Kuhakiki utekelezaji wa sheria namba 5, kama vile
uwajibikaji wa Halmashauri ya Idara.
g)
Kuhakiki Mapato na Matumizi ya Idara na Uhalisia wake
IDARA YA WANAWAKE NA MALEZI
YA FAMILIA
a)
Kuhakiki kama mafundisho ya Wanawake na Wanaume katika
Dayosisi yanafanyika.
b)
Kuhakiki kama mafundisho ya Watoto katika Dayosisi
yanasimamiwa.
c)
Kuhakiki kama vikao vya Idara vinafanyika na vina tija.
d) Makisio ya Idara yanasimamiwa na yanaendana na
uhalisia wake
e)
Kutoa taarifa za Idara kwa Halmashauri ya Ibara, na vikao
vya utekelezaji
f)
Kutunza na kusimamia vifaa vya Idara.
g)
Kuhakiki kama Halmashauri ya Idara inatekeleza wajibu
wake, kama vile njia za kujitegemea kiuchumi zinatafutwa
h)
Kufuatilia Mpango wa Idara wa Mwaka 2013 kama unatekelezeka
i)
Utekelezaji wa sheria namba 5
IDARA YA UINJILISTI,
MISIONI, UWAKILI NA EKUMENE
a) Kuhakiki uwepo wa Taarifa za Kuanzisha kazi ya
Uinjilisti katika maeneo ambayo bado hayajapata habari njema, taarifa hii iwe
na takwimu zinazo jitosheleza
b) Kuhakiki kama mali na
vifaa vya idara vinatunzwa ipasavyo.
c) Kuhakiki kwamba makisio ya Idara yanasimamiwa ipasavyo
d)
Kuhakiki kama mafundisho na semina mbalimbali
zinaandaliwa na kufanyika, kisha taarifa yake imeandaliwa yenye Takwimu
mbalimbali na changamoto zake.
e)
Kuhakiki Mapato na Matumizi ya Idara.
f)
Kuhakiki taarifa za muda mrefu na muda mfupi.
g)
Utekelezaji wa sheria namba 5
IDARA YA UTABIBU NA
DIAKONIA:-
a)
Kupata taarifa za Kutafuta njia muhimu za kuwafahamu na
kuwahudumia wasiojiweza.
b)
Taarifa za ajira, kupandisha au kushusha madaraja ya
watumishi wake, taarifa iwe na takwimu zinazo jitosheleza.
c)
Kupitia makisio ya Idara ili kuyaweka mbele ya Kamati ya
fedha.
d)
Kuhakiki mpango wa kuelimisha
e)
Kuhakiki kama mikutano na Semina za Kiutabibu na Diakonia
katika Dayosisi inafanyika.
f)
Kuhakiki taarifa za Kuzungukia Hospitali na Zahanati
zipo, zikiwa na changamoto mbalimbali.
g)
Kuhakiki taarifa ya Mapato na matumizi ya Idara na
vitengo vyake
h)
Kuhakiki malinganisho ya dawa na mapato
i)
Kuhakiki mali zote kuwepo ndani ya daftari la mali za
kudumu
j)
Kuhakiki utekelezaji wa Mipango ya Idara.
k)
Utekelezaji wa sheria namba 5.
HALMASHAURI YA VIWANJA,
MAJENGO NA UFUNDI
a)
Kupata taarifa ya viwanja vipya vinavyopatikana.
b)
Taarifa ya majengo
na ufundi katika Dayosisi.
c)
Taarifa za Makisio mbalimbali za majengo
d)
Taarifa za michoro
mbali mbali hasa majengo ya sharika.
e)
Taarifa ya
kukagua shughuli za majengo
f)
Mpango wa kupata
viwanja.
g)
Atatoa ripoti yake kwa Halmashauri yake.
h)
Atakuwa mwandishi
wa Kikao.
i)
Uhusiano wa Idara
na Mtunza Hazina.
j)
Utekelezaji wa
sheria namba 5.
IDARA YA
MIPANGO NA MAENDELEO.
a)
TAARIFA ZA:
I.
Kusimamia miradi mbali mbali katika Dayosisi.
II.
Kufuatilia maendeleo ya miradi katika Dayosisi.
III.
Mipango mbalimbali uandaaji wa miradi mipya, njia za
kukuza uchumi katika Dayosisi, Elimu ihusuyo Uchumi kwa wakristo.
b)
Mahusiano ya kikazi na ofisi ya Mtunza Hazina
c)
Utekelezaji wa
Mipango ya Idara
d)
Mapato na Matumizi ya Idara.
e)
Utekelezaji wa sheria namba 5
IDARA YA ELIMU YA THEOLOJIA KWA ENEZI (ETE)
1.
Taarifa ya Mapato na Matumizi
2.
Malinganisho ya Mapato na mali zilizopo yaani Vitabu.
3.
Taarifa ya Miradi ya muda mfupi na muda mrefu
4.
Bank reconciliation
5.
taarifa zihusuzo utoaji wa elimu kwa njia ya semina,
madarasa mbalimbali na changa moto zake
6.
Mipango ya Idara juu ya kujiendeleza kiuchumi.
7.
Mahusiano ya Idara na Idara zingine kiutendaji
8.
Malinganisho ya ya fedhaa inayo ingia toka nje na iliyo
fika
9.
Taarifa ya jumla ikijumuisha vitengo vyake.
MIRADI
·
The
Auditor's Report should offer an opinion on the following areas:
·
Does
the Financial Programme/Project Report match with the Bookkeeping?
·
Does
the Financial Programme/Project Report correspond with the co-operation agreement?
·
Do
the received funds match with the Bookkeeping?
·
Does
the Bookkeeping match with the Vouchers?
·
Are
there proper Vouchers for the transactions?
·
Is
there an adequate Bookkeeping, including Journal and General Ledger?
·
Do
the changes in the List of Fixed Assets match with the Vouchers?
·
Does
the Bookkeeping match with the Official Bank Account Statements and Cash Book?
·
Does
the opening balance of funds correspond with the audit report of last year?
·
Is
the approved Financial Programme/Project Report free of material misstatement?
·
Are
received, unused funds properly recorded as a liability in the balance sheet
and included in the ending balance of the Financial Programme/Project Report?
·
Are
the recorded expenses in the Financial Programme/Project Report in line with
the approved original budget and activity plan?
·
Is
the internal control system of the organization in place? Are there any
material weaknesses that the organization should improve?
·
Do
the salaries of the project personnel match with existing properly signed
employment contracts?
·
Has
social security expenses including pensions and taxes been recorded and paid to
relevant authorities in accordance with the national legislation?
·
Does
the organization have copies of all valid essential contracts (government,
trading, rental, lease, service agreement)?
OFISI YA HAZINA
- FILLING
1.
Box files zote zipangwe vizuri na mahali
husika, zikiwa zina label ya typing na si maandishi ya mkono
2.
Hati za malipo, stakabadhi, invoice, JVs
nk ziwe ndani ya file kwa wakati husika
3.
Forms zote za maombi, tangulizo, nyaraka
zingine nk ziwe eneo husika kwa wakati husika
- RECONCILIATION
Zifanyike kwa wakati husika
Ø
Payroll- ihusishe Bank paylist, JVs,
Payroll contro sheet
Ø
NSSF & PAYE and year end PAYE return Vs Payroll &
Payment voucher and receipts
Ø
Bank reconciliation for all accounts
including Department bank accounts
Ø
Debtors, Creditors, Advance sal aries, loan and Outstanding Imprest
against actuals
Ø
Reconciliation of Income against stock
(Dispensaries)
Ø
Reconciliation of Cash records against Physical
balance
Ø
Reconciliation of all general ledgers.
- REPORTS AND REPORTING
TO BE REPORTED TIMELY
Ø
Statement of Cash flow
Ø
Statement of Comprehensive Income
Ø
Statement of financial Position
Ø
All reconciliation statements
Ø
Daily Cash and bank reports- Not mannual
report but electronically reports (Through quick books)
Ø
Reports from, Kindergaten, Rest house
Ø
Consolidated reports from Schools,
Districts etc.
- SOURCE DOCUMENTS
Ø
Payment Vouchers- well classified and
coding and stamped PAID
Ø
Receipts- be electronically with the
exceptional cases like problem of power (Electricity) and stamped RECEIVED
Ø
Invoice- be done electronically
(Quickbooks)
·
OTHERS
Ø
Label to fixed Assets
Ø
Performance assesment to all Treasury’s
staff
Ø
Update of Non Current assets register
Ø
Surprising Audit itafanyika wakati wowote ule,
itahusisha logbook, uhalali wa safari, malinganisho ya fedha taslimu na Cash
book, bank reconciliation, utekelezaji wa maazimio mbalimbali n.k
No comments
Post a Comment