Writen by
sadataley
11:35 PM
-
0
Comments
Wa andishi wa Habari wa Zanzibar , walioko katika Semina ya Maafisa Habari Nchini China wakifuatilia kwa makini mada inayo wasilishwa na Mkurugenzi huyo wa lugha za kigeni.
Waandaji wa Semina hiyo wakifuatilia namna ya Waandishi hao waanavyoshiriki katika Semina hiyo na kipi wanakuwa na changa moto katika nchi yao .
Wa andishi wa Habari wa
Mkurugenzi mkuu wa Lugha za Kigeni Chini China , Huang Youyi, akiwasilisha mada juu ya mabadiliko ya kimaendeleo nchini China kwa Waandishi wa habari za Zanzibar .
Waandishi wa Habari wa
Waandishi wa Habari wa
Waandishi wa Habari wa
Mkuu wa Msafara wa Waandishi wa Zanzibar , Nasima Haji, akiuliza Swali kutoka kwa Mkuu wa Jumuiya hiyo ni kwa nini Lugha ya Kiswahili haitumiki katika Jumuiya hiyo na kutumika katika Radio ya Kimataifa ya China Pekee.
Chanzo:www.zanzinews.com
No comments
Post a Comment