Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Monday, September 16, 2013

Ofisi ya muendesha mashataka mkuu wa ICC yapata pigo jipya baada ya mashahidi wengine wanne kujiondowa kwenye kesi dhidi ya naibu rais wa Kenya William Ruto

Naibu rais wa Kenya, William Ruto

                                                                           Naibu rais wa Kenya, William Ruto

Na Ali Bilali
Ofisi ya muendesha mashataka mkuu wa mahakama ya uhalifu wa kivita ya ICC ilipo jijini Hague imepata pigo jingine baada ya mashahidi wanne zaidi kujiondoa kutoka kesi dhidi ya naibu rais wa Kenya William Ruto.
Hatuwa hii inajiri wakati Ruto akijiandaa kurejea mjini Hague nchini Uholanzi hii leo kwa ajili ya kuendelea kusikilizwa kwa kesi dhidi yake hapo kesho, siku nne baada ya kusitishwa kwa kesi hiyo kufuatia kuchelewa kwa mashahidi.
Mengi zaidi ni katika ripoti ya Paulo Silva kutoka jijini Nairobi

« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment