Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Monday, September 16, 2013

Ban kuwasilisha ripoti ya wachunguzi wa silaha za kemikali Syria.

UN-Syria-Chemical-Weapons
UN-Syria-Chemical-Weapons
Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Ban Ki Moon ataliarifu  baraza la usalama hii Jumatatu  juu ya kile wakaguzi wa silaha za kemikali walichogundua baada ya kufanya uchunguzi huko Syria.

Timu hiyo ilichukua sampuli ya mchanga kutoka kwenye mitaa ya  Damascus na sampuli  za damu kutoka kwa raia waathirika wa mashambulizi ya gesi ya sumu mwezi uliopita.

Kazi yao ilikuwa si kuangalia nani wa kulaumiwa lakini kuthibitisha shambulizi kutokea. Lakini Marekani inasema hakuna shaka yeyote kwamba jeshi la Bw. Bashar Al Assad limehusika.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment