Writen by
sadataley
10:56 PM
-
0
Comments
Anna Daffa mkazi wa Manundu Korogwe kati akiwa amemshikilia mtoto wake ambaye ni mlemavu wa miguu. Mama huyu anomba msaada ili kunusuru maisha ya mtoto hyu. Unaweza wasiliana nae kwa namba 0657885348
Tunawashukuru wote watakao guswa na tatizo hili
Habari hii kwa hisani ya Kajunason blog
No comments
Post a Comment