Writen by
sadataley
12 years ago
-
0
Comments
Waziri wa uchukuzi wa Tanzania Dr. Harisson Mwakyembe.Katika mjadala wetu tunazungumzia suala la tatizo la biashara haramu ya madawa ya kulevya nchini Tanzania kwa mujibu wa takwimu mbali mbali ni kwamba watanzania wapatao 240 baadhi yao wakiwa wasanii wameshakamatwa katika nchi mbali mbali duniani wakiwa na madawa haya yenye thamani ya mabilioni ya shilingi.
Tadhali changia kwa kuweka maoni yako katika post
No comments
Post a Comment